Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Ni uongo au kujitoa ufahamu kusema mwanaume hauna akili ya kujua kuwa huyu mwanamke ana red flags za kutosha kukupa mrejesho kuwa hautadumu nae na hatobadilika hata ufanye nini.
Mwezi wa kwanza tu wa kuishi na kuwa karibu na mwanamke tayari kwa mtoto wa kiume mwenye ubongo unaofanya kazi kiume unakuwa umeshapata notifications za kukutosha kujua huyu ni 20% ya mwanamke ninayewezana nae au ni 90% ya mwanamke ninayewezana nae.
Kujitoa ufahamu na kuzaa na mwanamke ambaye kila unapomtazama ubongo na akili yako vinakuhoji kama kweli wewe upo serious na future ya watoto wako kuwapa mama wa namna hiyo ni sehemu ya wewe kuchagua wala si bahati mbaya au ajali ni makusudi.
Usiniambie ni nikufundishe namna ya kuchagua mke wakati huku mtandaoni kuna elimu kuanzia chekechekea hadi Phd ya namna ya kutambua mwanamke bora na kuona red flags kwa wanawake wenye vipengele.
Kwetu sisi wanaume, wanawake ni kama kuchagua gari, huwezi kwenda dukani ukaambiwa uchukue gari sababu wahudumu wa yard wanakushawishi vizuri kulinunua bali utatazama namna utaweza mudu kuishi nalo kama vile baba yako,babu yako au mjomba wako alivyodumu na ile Hilux yake au Peugeot 504,au Land Rover 110 yake ambayo imedumu nae tokea akiwa kijana mtafutaji hadi amekuwa mstaafu.
Narudia tena,kuwa makini sana ni wapi unakwenda kuweka mtoto wako. Unafanya maamuzi ambayo matokeo yake mtoto wako asiye na hatia atadumu nayo maisha yote. Imagine yule kijana aliyezaa na giggy money,imagine yule mzungu aliyezaa na Mange kimambi, imagine majuto yao kutokana na kuleta mzaha na kuchagua sehemu ya kwenda kuweka watoto.
Kama umeamua kutafuna pisi tafuna tu kwa mihemuko ya tamaa za mwili ila usirubunike ukaacha mtoto kwa hawa freemason ambao wanafanya kila aina ya vituko,itakutesa na kukuandama maisha yako yote ukimtazama mwanao akishuhudu matukio ya mama kilaza.
Kumbuka namna wewe ukiwa mdogo kipindi kile ukirejea nyumbani,yule mwanamke uliyemkuta nyumbani kajitanda khanga au vitenge, ambaye haujawahi kumsikia akitukana matusi,kuvaa nguo za utupu,kumuona mitandaoni akibidua mkalio,kuona picha zake za kujidhalilisha,na wewe ukamwita mama kwa ufahari,huyo ni mwanamke baba yako alikuweka na leo unaona ukisema neno mama inakujia taswira yake.
Sasa muwazie mtoto wa giggy money na mtoto wa mange kimambi namna wanaona mama zao vitu wanapost mitandaoni,maneno machafu wanayoandika au kujirekodi wakiyatamka na kupost. Imagine watoto hujiuliza swali gani kichwani huku wakiona wenzao wana mama wanajiheshimu? Hapa si tayari umepatia mtoto wako laana ya malezi,aibu ya maisha na msongo wa mawazo bila hatia yoyote.
Hizo hamu zako zisikupeleke ukampa mtoto kifungo cha maisha. Ndoa ni Pepo ya mtoto/watoto,hebu jitahidi basi umpatie,kosa utajiri,kosa pesa,kosa mali ila mtoto wako apate familia salama ya makuzi na mama bora wa kumlea. Tupambane sana hili eneo,kuwa mkali,mkaksi,na simama na principles eneo hili.
Kama wewe baba yako alikupa mama muhudumu wa Bar usirudie hilo kosa kwa wanao,kama baba yako wewe alikuacha kwenye uzao wa mama kahaba usije ukarudia hiyo dhambi, kwa kifupi makosa ya baba yako sio urithi wako,ukatae tengeneza kizazi chako wewe.
Kumbuka,wewe unaweza kuchagua mke na kuacha ili uchague mwingine,watoto wako hawana hiyo nafasi ya kubadilisha Mama sababu mama ni mama na huwa ni m'moja tu,na hata ukimkataa sehemu ya mwili wako kwa asilimia 80% itakuwa inakuunga na huyo mama na kukutaka umuwazie na kumtafuta hata kama ni mkorofi au mtu wa hovyo. Watoto hawachagui mama bali wanamkuta, acha upumbavu wako eneo hili, wanawake wazuri wenye adabu na utii wapo na ni wengi, usiende chukua malaya, mdangaji, traumatized female na kumgeuza mama wa watoto wako, utawatesa watoto, ni bora watoto wakute mama hana tako, hana shepu na sio mzuri ila wakapata mwalimu mzuri wa maadili, rafiki wa baba, msimamizi wa familia, na mfariji wa familia wa viwango vinavyotakiwa.
Chapa pisi kali kisha tembea ila weka ndani mke na mama bora kwaajiri ya familia yako.
Kwa ushauri wa bure unaweza nitafuta bila gharama yoyote upate msaada kama una struggle eneo hili.