Mwanaume usiweke matumaini makubwa sana kwenye ndoa

Hoja yako kuu hapa ni kumuendesha mwanamke katika ndoa, kumbe hilo ndilo hitaji kuu kwa mwanaume? Kwamba hilo likishindikana hakuna maana katika ndoa?

Sikiliza nikwambie, mwanamke akikupenda kweli atakuheshimu na kukusikiliza wala sio jambo la kulazimisha. Na daima ukitaka kuishi vyema na mwanamke usimpelekeshe kwamba wewe ndio mwanaume una uwezo wa kumuamrisha chochote.

Pendaneni na kusikilizana, mtaishi vizuri kwa amani.
 
WANASE4MA UKISHAURIWA NA MWANAMKE FANYA KINYUME CHAKE
 
Awake kwenye ugane
 
Baba ni kichwa cha familia chukua uongozi ili ajisikie salama ila usikomoe au kulazimisha jambo
 
Hoja ya yangu ni kuhusu wanaume kuondoa too much expectations ndani ya ndoa.
 
Kwa ushauri wale ambao hawajaoa, OA TYPE YAKO NA HAKIKISHA HAPANDI VIWANGO VYA UHURU WAKE ZAIDI YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…