Mwanaume usiye na kazi usipende!

Mwanaume usiye na kazi usipende!

Mm beki tatu wamenisadia sana ktk kipindi kigumu mbususa zao walinipa bila madai yoyote na wengine hadi leo tunamawasiliamo mazuri

Nianze kuwashukuru mmoja mmoja hapa hapa
1 sakina omari kutoka singida
2 eliza k,kutoka kagera kabila mwangaza
3 dada colin kutoka singida
4 vailet kutoka dsm buza
5 monica kutka geita msukuma.kalikuwa katamu kweli

Lkn pia pisi kali nimewala ila kitapeli zaid
Ila kwa kwwli beki tatu wana msaada sana kwa majobless muwatumie aisee kwa vipindi vigumu

Leo tu mmoja kanusurika kuliwa kimasjara
 
Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26

Out there wakuu,

Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula mbususu pita hivi, usijenge kibanda, usilete hisia bro, utanyonyoka vibaya sana, sana!

Naongea na wewe jobless wakiume. Anaweza kukupenda kweli kutoka moyoni lakini Kuna vitu huwezi kumtimizia, sasa wakati wanaume wenzako watakapokuja kukusaidia majukum ukija ukigundua utapata mshtuko wa moyo, UTAKUFA.

Sikiliza jobless wa kiume, technically hakuna mwanamke jobless ila wapo tu ambao hawana kazi maalum, ukimwona hajaajiriwa au hana mishe yeyote usijidinganye kuwa ni hadhi yako, utashangwazwa nakuhakishia, ATAKUSHANGAZA.

Jobless mbususu chakata ila usipende, chonde chonde jobless mwenzangu safari ni ndefu sana, muda mchache, ndoto ni kubwa sana, mizigo ni mingi mno, hizi pisi zitakukwamisha na kukurudusha nyuma, atasepa na hako kamtaji kako jobless tuwe makini.

Jobless mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua, jobless stress za mapenzi zinaua, stress za mapenzi zinafelisha, stress za mapenzi zinaleta fikra hasi, stress za mapenzi zinaweza fanya ukajutia kuwa hai, jobless huna haki ya kupendwa tafuta hela.

Sikiliza jobless, anaweza akaelewa show yako kwa bed lakini maisha yako asipoyaelewa ndiyo basi tena humpati, kwahiyo ukimkabidhi moyo umejila jobless, nasema UMEJIlA jobless.

Chakufanya tujenge base halafu tuinue empire(huo mda endelea kuchakata ila usipende), mambo yakijipa ndio upende mtoto wa mtu mpaka achanganyikiwe.

Ila kwa hali yako ya sasa jobless, anaweza kukupenda ila hawezi kubaki mikononi mwako, huwezi kumlinda atatoweka tu siku moja, watamchukua vibopa, halafu utaumia sana kwa hisia ulizowekeza. Kwahiyo jobless kaa chonjo, jobless kaa mbali.

Kiufupi majobless hatuna haki ya kupendwa.

Na log out,
Dr Criminal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujiita jobless wakati Rais Samia Suluhu ameleta fursa nyingi kwa vijana nenda kakope mikopo yenye mashart nafuu au nenda kapewe shamba ujiajiri kwenye kilimo
 
IMG_1139.jpg
 
Tunarudi kule kule

1.usiwekeze kwa mtu isipokuwa wewe( Don’t Commit to anyone, be not a fool)

2.usimpende mtu isipokuwa wewe kwanza( Love yourself first before your neighbor, none should teach you this)

3. Be empathetically SELFISH.
Usimuhurumie mwanamke, Mdanganye, mtumie, kaa nae kinafiki, cheka nae kumbe mamamaaaa.
Akizingua- Next her

wanaoenda kinyume na hizi Kanuni acha wafe
 
Tunarudi kule kule

1.usiwekeze kwa mtu isipokuwa wewe( Don’t Commit to anyone, be not a fool)

2.usimpende mtu isipokuwa wewe kwanza( Love yourself first before your neighbor, none should teach you this)

3. Be empathetically SELFISH.
Usimuhurumie mwanamke, Mdanganye, mtumie, kaa nae kinafiki, cheka nae kumbe mamamaaaa.
Akizingua- Next her

wanaoenda kinyume na hizi Kanuni acha wafe
Wazi afande[emoji1690]
 
Hehe.. inachoma hiyo..naendelea kusoma comments
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Tunarudi kule kule

1.usiwekeze kwa mtu isipokuwa wewe( Don’t Commit to anyone, be not a fool)

2.usimpende mtu isipokuwa wewe kwanza( Love yourself first before your neighbor, none should teach you this)

3. Be empathetically SELFISH.
Usimuhurumie mwanamke, Mdanganye, mtumie, kaa nae kinafiki, cheka nae kumbe mamamaaaa.
Akizingua- Next her

wanaoenda kinyume na hizi Kanuni acha wafe
Ukweli wa chloroquine huu!!
 
Je akibahatika kumpenda mwanamke ambaye yuko na financial freedom na mwanamke huyo naye akamwelewa na kumpenda afanyeje ?

Je ajizuie kumpenda mpaka atakapokuja kupata hela ndipo apende huyo jobless?
 
Back
Top Bottom