Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
- Thread starter
- #181
Mkuu hii Kama maiti ya Nabii tu, tunaizika ilipofia[emoji1666]Mkuu umemaliza,tuzike hapa au tusafirishe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii Kama maiti ya Nabii tu, tunaizika ilipofia[emoji1666]Mkuu umemaliza,tuzike hapa au tusafirishe??
Kupenda si unapenda tu, shida ni kupendwa na huyo unayempenda ndo kipengeleTatizo la mapenzi huwezi kusema usubiri upate pesa/ufanikiwe ndio uanze kupenda, kumpenda mtu ni bahati unapoipata shukuru mungu maana unaweza kuwa billionaire leo lakini hautakujua utamu wa kupenda mtu
Huyo hafai mshenzi mademu kama hao wasiojua mapenzi ni wa kuwapotezea tu. Tena kauli zake ni kama za malaya ndo maneno yao hayoKuna mmoja alikuwa anakera kweli, anasema 'umalizi tu, muda wote huo'; akaitoa, nikaendelea kubaki na maumivu yangu. Mpaka leo akiomba tuonane, nampiga kalenda tu.
Madam kasema[emoji849]100% ndo ukweli
Mr Liverpool will be proud of you[emoji23]Dating is another form of prostitution.
Kamwe Mwanaume usije ukapenda. Chakata kimbia. Na usijaribu KUOA...... Utakuja kunishukuru
Wamekuskia mkuu[emoji51][emoji23]Ambae hajakuelewa shauri yake na likimkuta ajambo asije na thread za kulilia hapa maana tutamfurumusha na matusi
Amn kwamba mkuuShida now Sex ndio watu wameigeuza kuwa love. Mleta UZI anaongelea kitu ambacho unaweza kukipata kwa buku 3 mpk buku 5 ya nyerere. Angeongelea tu Kupenda peke yake which na shauri wanaume wote wasifanye huu ujinga WA kumpenda mwanamke sababu hata wewe ambaye una pesa Sasa au kazi inayokupa pesa..... Siku zikiisha then nae ATASEPA
Kwenye dunia ya kufikilika[emoji23]Uyo anaongea mambo yaniwenye tamthilia za kifilipino[emoji4]
Hayo mashairi yao hayafanyi kazi ukija uwalisiaHakuna kitu kinaitwa unconditional love, hata Mungu hajaweza kutupatia unconditional love...iwe kwa hawa wanawake?
@mzabzab kama usingechangia huu uzi ningeufuta mpaka kufikia kesho[emoji23][emoji23][emoji1787]Mwanaume kamwe hutakiwi ku.penda mwanamke. Mwanamke ni wa kuchakata tuu. Wee chakata tuu mwanawane hao wao wanapenda shetani
[emoji16][emoji16][emoji109][emoji109]Uzi bora wa mwezi JF hakika umeandika sahihi kaka hongera sana kwa kua great thinker [emoji23][emoji122]
Naachane kicomment wakati mie mwenyewe jobless@mzabzab kama usingechangia huu uzi ningeufuta mpaka kufikia kesho[emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1666][emoji1666]Naachane kicomment wakati mie mwenyewe jobless
Ni kweli mkuu utakuta ukimuitaji katika ya mwezi haji ana jibu nipo Bize lakini akiona tarehe za mwisho wa mwezi utaona sms, Mambo?.All in all alosema mtoa mada ni ukweli mtupu yani kama mimi mbususu napewaga mwsho wa mwezi nikishapata visent vyangu kama MP tu maaee
Mods walisema ikifika saa 6 kamil[emoji28]huu uzi utafanyiwa lamination saa ngp?
Tutafka tu lkn[emoji1787]Ni kweli mkuu utakuta ukimuitaji katika ya mwezi haji ana jibu nipo Bize lakini akiona tarehe za mwisho wa mwezi utaona sms, Mambo?.
Tuishi humo [emoji23][emoji1666]Jobless sisi Ni kujizuia tu kwa mwez tunatomb* Mara moja pale tunanunua Dem bajet 10k imeisha iyo tukutane mwezi ujao hakuna kuweka kambi mapenz Ni pesa tusije dhalilika