Mwanaume usiye na kazi usipende!

Mwanaume usiye na kazi usipende!

Yani hahaaa maisha yamebadilika sana siku hizi uvivu umekua mwingi muda wote mtu yuko gheton kwako huku yupo snapchat Anarusha picha ya pazia lako au msabufa wako huo mud wa kupika autoe wapi??
Ila hapa pia nyie mmechangia siku hizi hamtoi hela kama zamani halafu mnamademu zaidi ya mmoja so mdada anamua kutojitoa fully.
Hela gani tena hyo ya kuitoa jaman[emoji23][emoji23]
 
Sahii kabisa,
Binafsi uko kwny kununua nishatoka,

Ntahudumia mbusus permanent Ila kwa bajeti

Mbususu itatumia kile Cha ziada tu na sio Cha muhimu au nnachokitegemea 100%

Wanaoniumiza kichwa ni wanangu na familia yangu, hao wengine acha tigawane vya ziada tu
This is deep chief[emoji848][emoji1666]
 
Vijana wanajisahaulisha Sana Hilo mkuu
Hata wale wanaowaona Wana wake wa kawaida, pemben Wana pisi Kali za kukojolea kojo zuri wakishatoka wkwenye mihangaiko yao.
Naam mkuu

Mwanaume atavuta jiko mwanamke anajitambua ila ana sura ya kawaida afu anaanza kukimbizana na pisi Kali[emoji23],,wanaume wote duniani tunapenda wanawake wazur
 
Jobless unapata wapi hisia za kuchakata

Hii nchi uhuru umepitiliza sasa
Jobless wauwawe wanachanganya sana mademu..mana shoo za jobless ni fire kama watakufa leo..wanakamia mbususu vibaya sana hadi mademu wanakosa direction anabaki katikati mana jobless shoo yuko vizuri ila hela hana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hata Michepuko nayo iko kwny nipe nikupe, no investment.

Ujue kula mbususu daily kwa condom kwa Hawa wa kuijiuza Ni changamoto Sana.

Sasa kama pesa IPO kwann usiichukulie mchepuko wake wa kudum Safi kabisa ulipie huduma ya nyamanyama.

Pesa ikikata unalala mbele[emoji4]
Kwa Me ambaye uchumi umeimarika ni sawa, ila kama bado kiuchumi sishauri kuwekeza kwa namna hiyo. Mkuu piga hesabu za outing na mchepuko wako, hamna hamna 50k, yani hapo umejibana, tena sijaweka budget ya mafuta ya kiswaswadu.

Sasa kwa kijana anayejitafuta awekeze nguvu kwa Ke atajenga kweli, atawekeza kweli?

Ke kwa asilimia kubwa hawapotezi, wanagain, coz ni ngumu sana kwa Me anayejielewa kumuomba mchepuko hela, hata kama yuko vibaya kiasi gani ila hawa wenzetu anaweza kukuomba 100k kumbe ndania ana 500k.
 
Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26

Out there wakuu,

Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula mbususu pita hivi, usijenge kibanda, usilete hisia bro, utanyonyoka vibaya sana, sana!

Naongea na wewe jobless wakiume. Anaweza kukupenda kweli kutoka moyoni lakini Kuna vitu huwezi kumtimizia, sasa wakati wanaume wenzako watakapokuja kukusaidia majukum ukija ukigundua utapata mshtuko wa moyo, UTAKUFA.

Sikiliza jobless wa kiume, technically hakuna mwanamke jobless ila wapo tu ambao hawana kazi maalum, ukimwona hajaajiriwa au hana mishe yeyote usijidinganye kuwa ni hadhi yako, utashangwazwa nakuhakishia, ATAKUSHANGAZA.

Jobless mbususu chakata ila usipende, chonde chonde jobless mwenzangu safari ni ndefu sana, muda mchache, ndoto ni kubwa sana, mizigo ni mingi mno, hizi pisi zitakukwamisha na kukurudusha nyuma, atasepa na hako kamtaji kako jobless tuwe makini.

Jobless mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua, jobless stress za mapenzi zinaua, stress za mapenzi zinafelisha, stress za mapenzi zinaleta fikra hasi, stress za mapenzi zinaweza fanya ukajutia kuwa hai, jobless huna haki ya kupendwa tafuta hela.

Sikiliza jobless, anaweza akaelewa show yako kwa bed lakini maisha yako asipoyaelewa ndiyo basi tena humpati, kwahiyo ukimkabidhi moyo umejila jobless, nasema UMEJIlA jobless.

Chakufanya tujenge base halafu tuinue empire(huo mda endelea kuchakata ila usipende), mambo yakijipa ndio upende mtoto wa mtu mpaka achanganyikiwe.

Ila kwa hali yako ya sasa jobless, anaweza kukupenda ila hawezi kubaki mikononi mwako, huwezi kumlinda atatoweka tu siku moja, watamchukua vibopa, halafu utaumia sana kwa hisia ulizowekeza. Kwahiyo jobless kaa chonjo, jobless kaa mbali.

Kiufupi majobless hatuna haki ya kupendwa.

Na log out,
Dr Criminal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemaliza,tuzike hapa au tusafirishe??
 
Ninachotaka kusema ni kuwa mwanaume unaweza ukawa na hela nyingi, tena ukawa husband material mwenye tabia njema, ila kama mwanamke hajavutiwa na wewe kimapenzi, hilo pia linaweza kuwa tatizo kubwa sana, kama huyo mwanamke hatokua mvumilivu mahusiano hayatodumu Demi

Avumilie nini wakati havutiwi na wewe, au baada ya muda utabadilika na Kuwa na mvuto
 
Tatizo moja kubwa la umasikini ni kuangalia kila kitu kwa miwani ya pesa.

Tatizo moja kubwa la utajiri ni kuangalia kila kitu bila kujali pesa.

Epuka matatizo haya mawili uweze kupima mambo kwa uhalisi wake.
 
Alafu mwanaume unakosaje kazi ya kufanya?
Ukiona huwez pata kazi basi hata mwanamke ukimpata kakuhurumia tu.

Mm nikishajua dem ana mshkaji asie na kazi nampa mambo mawili maisha safi na pesa lazima mjinga wake atoe chozi
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom