Hata mkibahatika kupata wanaume wenye hela na ni watoaji, mara nyingi huwa mnawapiga na vitu vizito.
Kuna documentary moja niliona YouTube, mzungu mmoja mwenye pesa alimpenda binti wa kifilipino, binti alikuwa anapewa $1000 ya matumizi kila mwezi, ndugu za binti walijengewa ghorofa, binti alipangiwa nyumba kwenye best neighborhoods kule ufilipino na binti aliwekewa beki 3, binti alikuwa hafanyi kazi yoyote anaishi kwa raha.
Cha ajabu binti alitumia hiyo hela kumnunulia pikipiki Mkaka security guard, ambaye mshahara wake wa mwaka ndo hela anayopewa binti kwa mwezi, mkaka security guard na huyo binti walipanga njama wakamuua mzungu wa watu ili wao wabaki na mali waoane waishi pamoja, binti aligundulika akahukumiwa life sentence, cha ajabu siku ya hukumu hakuna hata ndugu wa binti mmoja aliyekuja mahakamani
Demi