Mwanaume usiye na kazi usipende!

Inawezekana kabisa kupendana bila masharti (unconditional love) ikiwemo kuwa na hela.

Hela unaweza kuwa nayo leo kesho ukawa huna.

Kazi unaweza kuwa nayo leo kesho ukawa huna.

Je hela inapokata mwanamke akukimbie?
 
Even in this world of ful fakes bado kuna unconditional loves relationship zinazoendelea.
 
Nilichogundua mpaka kijijini siku hizi wanawake wanawmbiana Angalia mfuko wa Mwanaume kabla hujamkubali.

Ndiyo maana wengine wanafanywa vibaya.
 
Ha ha ha...wee jamaa bhana,
Yaan bint was Watu kaja kufanya kazi wee unaona ndo pakuponea[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minishaacha kupenda kabisa natafuta tu wale wa chap 5k kila mmoja anaendelea na shughuli zake
 
Vijana hapa tunakumbushana tu. Kuwa na Mapenzi (pamoja na mpenzi) anahitaji pesa kama huwezi ni bora utafute Sabuni tu ili kuepukana na mizinga.

Huwez kudai una mpenzi Ila humpi hela ya matumizi Ila utamu unataka
 
Vijana tunakumbushana tu. Kuwa na Mapenzi (pamoja na mpenzi) anahitaji pesa kama huwez ni Bora utafute Sabuni tu ili kuepukana na mizinga. Huwez kudai una mpenzi Ila humpi hela ya matumizi Ila utamu unataka
Kwahiyo wewe unatumia sabuni?
Mwanaume kitu cha kuogopa ni kutokuwa na nguvu za kiume tu. Utamu tunasikia wote nimpe hela ya nini?
 
Vijana tunakumbushana tu. Kuwa na Mapenzi (pamoja na mpenzi) anahitaji pesa kama huwezi ni bora utafute Sabuni tu ili kuepukana na mizinga.

Huwez kudai una mpenzi Ila humpi hela ya matumizi Ila utamu unataka.
Unatumia sabuni gani?hata zenyewe bei zimetofautiana pia.

Vijana,tafuteni wapenzi,fanyeni mapenzi ,chakataneni
Ila msisahau kutafuta wa size ya wallet yako.
 
Sabuni ni kitu cha kukosa kweli.
 
Ni kweli kabisa kuna sehemu mwanaume alikuwa hivi nilivumilia sababu nlikuwa nampenda sasa nae akaanza kujipaisha kiukweli nilivomwacha hakuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…