Mwanaume usiye na kazi usipende!

Usiwaondolee wenzio ujasiri wa kujiamini.

Inategemea.

Kuna wanawake wanakazi na hela na wanachotaka kwa Mwanaume ni penzi na heshima na uaminifu na sio pesa.

Si wanawake wote wapo after money.

Though kwa bongo ni wachache sana!
Hali ya maisha imewafanya kua wachache na adimu sana
 
Wawakubali tuu hato hao wa 150k maisha hayatabiriki...ukianza na mtu from scratch mtapanda nae mtafika huko kwny 1milion to millions..
 
Liverpool VPN unaitwa huku
 
Huu uzi utakuwa na wachangiaji wengi majobless
Kuwa jobless ni hatua katika maisha wala siyo dhambi na huyu huyu jobless mwisho wa siku anapata kazi au kuwa na biashara yake.
Mdada huyu huyu ambaye hataki jobless anajirengesha na matokeo yake wanaishia kumegwa, kuzalishwa na kuachwa kwasababu Jobless analipiza kisasi
 
Kuna watu wanahela lakini wake zao wanaliwa na bodaboda mpk mahouse boy.
Nyie ndiyo wale mnatafuta pesa ili uishi na mwanamke mzuri huku umesahau maisha ni hatua.
Siku umeyumba kiuchumi au umefukuzwa kazi mke anakukimbia.
Brother,
siogopi Kufilisika,Kufilisika kupo TU.

Na siwez kula/kuoa pisi mbovu eti naogopa ntachapiwa nkifilisika, wanwake wazur wengi sana mkuu wanazaliwa daily.

Nikichapiwa nafukuza naleta pisi nyingine,
Sikuzaliwa naye tumbo moja yule, As long as pesa IPO, ntajichagulia mrembo nnaemtaka atachukua nafasi yake.

Mkuu,
Sitafuti pesa ili niteseke,
Pesa inapaswa inifanye nifurahie maisha.
Mwanamke wa kunipasua kichwa na Hana Cha ziada nnachofaidi kwake namtupilia kushoto tu akifilie mbali uko.[emoji4]

Mwanamke Ni ua,
Mwanamke Ni urembo wa nyumba
Mke au demu wangu lazima anivutie nikimtizama ndo mambo mengn yatafata.

Kukimbiwa ukifilisika ni matokeo, waliosema
"filisika tujue tabia ya mkeo"
Au
"mwanaume pata pesa tuijue tabia yako"

Hawakua wajinga,

Huenda unayasema haya kwasababu hujapata pesa,
Ila nakuapia siku ukizipata hutotaka kula pisi mbovu, otherwise pesa zako za ndagu

KILA MWANAUME NDOTO YAKE KWANZA NI KUKOJOLEA PAZURI,MENGINE YATAFATA[emoji4]
 
Na wakipenda kupewa pesa, wajue pia kutoa shoo nzuri zinazohamasisha; sio jitu linakuja linakaa kaa tu likingojea kifo cha mende au mpaka ageuzwe geuzwe.
Hapa mzee baba umeongea jambo muhimu unakuta demu anapenda pesa huyoo njoo kwenye shoo mvivu hana hata amsha amsha nikikutanaga na wa namna hiyo huwa naonaga nimetapeliwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…