Mwanaume usiye na kazi usipende!

Na kweli build your own Empire kwanza kabla hujaingia mazima.

Tuliokua tunapenda bila kazi wala hela then mnabuild ur empire pamoja.

Kizazi chetu ndiyo kimeshaishia...kwa sasa love is business.
Facts[emoji1666]
 
Umetema madin Sana mkuu
 
Hapo jobless tunawajumlisha hadi wenye mishaara goi goi,,mtu Kwa mwezi unaingiza 50k we ni jobless tu
 
Asante kwa shahiri zuri
 
Wawakubali tuu hato hao wa 150k maisha hayatabiriki...ukianza na mtu from scratch mtapanda nae mtafika huko kwny 1milion to millions..
Wanawake wengi hawatoagi support kwa wanaume, simaanishi support ya kipesa, i mean kumpikia mwanaume, kumfulia, kumdekia ghetto, kumfariji etc.. hawataki kufanya ayo wakidai hawajaolewa hivo sio majukumu yao, ila wanataka dushe na kupewa hela, na huyo huyo mwanaume anaepata 150k kwa mwezi Kalpana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…