Mwanaume usiye na kazi usipende!

Nakaziaaa apa
 
Actually Ni sawa umenunua malaya, pay for sex and not everything else Balqior
 
Sitasahau Siku niliambiwa na mpenzi Wang neema kwamba nitafute kwanza hela nikipata nimtafute.

Nilipata Taabu sana kumsahau mbele ya Degree yangu ya Angriculture
Dunia adaha[emoji23][emoji23]
 
Sure thing mkuu
 
KWA sasa
Mahusiano Ni gharama,
Mahusiano yanahitaji uendeshaji,
Huna hela kaa TU kushoto wenzio wasongeshe gurudumu
Natafuta 10k, naenda site nachukua mzigo wa 5k napiga narudi zangu home mwepesi, nyie mnaotaka kupetiana endeeni kufilisika[emoji16]. Mahusiano ni hasara kwa Me na faida kwa Ke.
Hakuna Ke anaridhika hata umpe nini, siku ukianguka kiuchumi huna rangi utaacha ona.
 
Alafu mwanaume unakosaje kazi ya kufanya?
Ukiona huwez pata kazi basi hata mwanamke ukimpata kakuhurumia tu.

Mm nikishajua dem ana mshkaji asie na kazi nampa mambo mawili maisha safi na pesa lazima mjinga wake atoe chozi
 
Usiwaondolee wenzio ujasiri wa kujiamini.

Inategemea.

Kuna wanawake wanakazi na hela na wanachotaka kwa Mwanaume ni penzi na heshima na uaminifu na sio pesa.

Si wanawake wote wapo after money.

Though kwa bongo ni wachache sana!
Umesema kwel
 
Halafu kwa nini utafute pesa ili umfurahishe Ke, tafuta kwa ajili yako na furaha yako.

If possible ingia kwenye mahusiano ya "nipe nikupe", ukimhitaji unaandaa fungu lako, unaenda kuweka na kulipia huduma..mkimalizana kila mtu na hamsini zake, mmoja akimmiss mwenzake mnatafutana and it goes on like that.

Wekeza kwa Ke halafu utakuja kulia wallah!!
 
Yani hahaaa maisha yamebadilika sana siku hizi uvivu umekua mwingi muda wote mtu yuko gheton kwako huku yupo snapchat Anarusha picha ya pazia lako au msabufa wako huo mud wa kupika autoe wapi??
Ila hapa pia nyie mmechangia siku hizi hamtoi hela kama zamani halafu mnamademu zaidi ya mmoja so mdada anamua kutojitoa fully.
 
Wewe[emoji23][emoji23]

Iko hivi ukimtoa mwanamke chini ukamleta Kwenye hadhi atakuja abebwe na waliokudhidi hadhi

Na ukikavumilia kamwanaume kakitoboa kanafata wale maslay queen
 
Kwanza nyie majobless mkipataga Kazi na vihela mnawaacha walowavumilia wakati hamna kitu...
Kama vipi majobless wauawe tu[emoji1787]
Sio sawa jaman mtuhurumie[emoji26][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…