Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho

Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho

ndio hivyo kaka
duniani ni mwanamke na mbwa na nyau wanaweza kupendwa unconditional, mwanaume unapendwa with conditions
you must give something and u must have something, mwanaume tajiri anaweza kumtoa binti kwa mtogole, mwanamke tajiri hawezi hata kukuangalia wewe ukiwa kwa mtogole
Tafuta pesa King
 
Back
Top Bottom