Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho


Muondoe nyau
 
Watu watabisha na hii mimi nilkua nakula demu wa dereva w matransit bure🤣jamaa anaacha laki mbili Kila wiki mi naenda kujisevia mke ni mama wa nyumbani
ACha watangulize hela hawajui thamani yao. Sisi tujipigie ila mzee ulikuwa unachezea Moto wa Petrol.....Madereva wa Transut Ukimwi nje nje
 
Sio mapenzi tuu hata kwenye maisha ya kawaida, Ndugu wenye uwezo ndio wanaonekana ndugu zaid ya wenye uwezo wa chini.

Mtu yoyote huonekana ndio mtu kweli kam anacho kipato.

All in all tuzisake tuu, hamna pa kukwepea
Kweli kabisa mkuu.hasa kwa mwanaume heshima anapewa kutokana na kipato chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…