Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

"Game over " umenena hyo point nmeiona xn xn wao kwa wao hazipandi hata chembe cz wanajuana
 
Hahahahaha lol! Mara ya mwisho alionekana akihudhuria debate ya Hillary na Trump, sijui kama alisharudi maskani kwake.
Hivi yeye yupo upande upi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haa nywele zenyewe mashushu, unajiona umekamilika, na umasikini huu, nachukua demu mkali, tatizo wewe ni masikini, na huyo chura hashtui kitu
 
...Upande ambao una sifa za kuingia WH kwa manufaa ya Taifa kubwa na dunia pia, si huu upande ambao unaweza kuwa chanzo cha Vita kuu ya tatu ya dunia na ambao una dharau kubwa dhidi ya wanawake, watu wa mataifa mengine na dini tofauti na pia hutumia kauli za hovyo sana li kuwadhalilisha wanawake.

Hivi yeye yupo upande upi?
 
Hivyo vitu baba ako kashindwa kuwa navyo mpaka unajiuza mie ntavitoa wapii??

Anyway hata huna mvuto kivile wakawaida tu tena kama zile za kimboka,sugar ray,king palace,coner bar na jollys
 
Masikini!!!Umeamua kutangaza sasa rasmi unauza....maaana hiyo kuwa na gari,nyumba na utajiri uliokwao vyote ni gia tu ili aje wanase kwenye 20,000/= .....okay!!Anakuja anakula mzigo kisha anakuachia 20,000 elfu hapo unadhan dhana ya kujiuzaa utaikwepa?
 
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
My be Mzae wewe huyo mwanaume ndo akuoe. Wanaume wa saivi hawpendi michezo michezo. Anaazamia gari mpaka nyumba ukiliwa tu utaambulia manyoya[emoji41] [emoji41]
 
...Upande ambao una sifa za kuingia WH kwa manufaa ya Taifa kubwa na dunia pia, si huu upande ambao unaweza kuwa chanzo cha Vita kuu ya tatu ya dunia na ambao una dharau kubwa dhidi ya wanawake, watu wa mataifa mengine na dini tofauti na pia hutumia kauli za hovyo sana li kuwadhalilisha wanawake.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa maelezo haya umedhihirisha pia upande uliopo.
 
lol! siyo kwamba umenisoma mabandiko yangu humu ya miezi ya nyuma!? 🙂🙂 Imebidi nitabasamu tu lol!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa maelezo haya umedhihirisha pia upande uliopo.
 
Hello there, thanx for boarding air fantasy, we'll be flying in the phenomenal clouds at 30000ft above the reality level, we expect some theoretical turbalance but your safety is already put into our consideration, thank you, we hope you'll enjoy the flight...!
 
Back
Top Bottom