Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

We tumiwa tu tena endelea kuchagua tu, mwishooooni kabisa utaanza kupigwa na walevi wa vilabuni na dau lako wakati huo litakua glass ya gongo na hupati wa kukupa kwa jinsi utakavyokua umechoka
 
Siku zote usi expect vitu vidogo expectation zako zizidi mahali ulipo, hata ukitaka kufanikiwa we ota ndoto kubwa kubwa tu utaongeza juhudi na jitihada

Keep sleeping to earn more big dreams...
"Kwel utajiri umejaa makaburini, Watu wamekufa na ndoto" kama zako na mtoa uzi
 
We dawa yako ni kukuacha uzeeke... Utakosa mauzo hata kwa wanaume wa Dar... Ukaolewe na vibabu vya Mkoani...
Bahati mbaya yake hata vibabu vya mkoni siku hizi vimejanjaruka havitaki makombo
 
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
fb862d585d4724ec5146ac2b560f8062.jpg
 
Keep sleeping to earn more big dreams...
"Kwel utajiri umejaa makaburini, Watu wamekufa na ndoto" kama zako na mtoa uzi
Bora shujaa anayekufa na ndoto zake kuliko lofa anayeshinda na miguu yake
 
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Nani anataka kiharufu cha mzoga wa panya maana huo mtaro na joto la d'asalam ni uvundo tupu..!
 
Kuna Miaka utapigiwa psiii psiii kuna Miaka Hata ukijipitisha hutasikia mtu wa kukuita na hapo ndio utatamani uwaite wewe wananume
 
Back
Top Bottom