Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ni mwanamke kwani?Tupe na sifa/vigezo vyetu sisi wa mikoani...!
Siku zote usi expect vitu vidogo expectation zako zizidi mahali ulipo, hata ukitaka kufanikiwa we ota ndoto kubwa kubwa tu utaongeza juhudi na jitihada
Bahati mbaya yake hata vibabu vya mkoni siku hizi vimejanjaruka havitaki makomboWe dawa yako ni kukuacha uzeeke... Utakosa mauzo hata kwa wanaume wa Dar... Ukaolewe na vibabu vya Mkoani...
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Hapa sijasoma, ni hayo maelezo yako tu.lol! siyo kwamba umenisoma mabandiko yangu humu ya miezi ya nyuma!? 🙂🙂 Imebidi nitabasamu tu lol!
Bora shujaa anayekufa na ndoto zake kuliko lofa anayeshinda na miguu yakeKeep sleeping to earn more big dreams...
"Kwel utajiri umejaa makaburini, Watu wamekufa na ndoto" kama zako na mtoa uzi
huyu ni mwanamke kwani?
Mentor joo muone mdada huku kumbe anaota huko kijijini
Nani anataka kiharufu cha mzoga wa panya maana huo mtaro na joto la d'asalam ni uvundo tupu..!1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
wewe dada wanaume wa dar hawapo hivo aliekuambia kakudanganya
hivi kwanini huwa una dharau sana? halafu wanaume wenye dharau manishiaga kulizwaa??? mpaka basiNani anataka kiharufu cha mzoga wa panya maana huo mtaro na joto la d'asalam ni uvundo tupu..!
Umechanganya mafailiwewe dada wanaume wa dar hawapo hivo aliekuambia kakudanganya
Nina dharau gani? Girls wengi wenye mijitako ni wachafu sana kazi kujistill na mipafyumu..!hivi kwanini huwa una dharau sana? halafu wanaume wenye dharau manishiaga kulizwaa??? mpaka basi
Mwandiko wa kiume kabisa huo.Najua basi...ila picha ya wa kike...atakuwa dada yake!