Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

duh.
hivi hadi leo unawaza kuhongwa,utaishia kuwa bibi na mwisho utaokoka ili uolewe hata na ..............
 
Nina dharau gani? Girls wengi wenye mijitako ni wachafu sana kazi kujistill na mipafyumu..!
uliwaona ? uchafu unatoka wapi? au unadhani kwamba kwa vile mtu ana matako makubwa basi anakunya mavi mengi?
 
Mimba iko njiani Dada.ikishaingia getini ndo basi teena
 
uliwaona ? uchafu unatoka wapi? au unadhani kwamba kwa vile mtu ana matako makubwa basi anakunya mavi mengi?
Umenifanya nicheke sana..! Tunayoongea tunayajua eti walinipata enzi hizo currently mkia haunitishi kitu mke wangu hana mkia kiivyo ila napata nilivyokosa kwa wenye mikia.
 
kwamba unajua wanawake wenye matako wananuka?
 
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Mmm,haya mapya,ni yale yale ya kabati ya mpeho!Napita tu.
 
kwamba unajua wanawake wenye matako wananuka?
Ata kama hawanuki kwa msaada wa unyunyu bado ata hawajimudu, sina muda mchafu hawa wanaojiona matako yao kama bastola ya kunitekea no lesson to learn there! Mnavyojitapa kwa ambao hawajawahi kuwapata watatekwa c mimi.
 
wivu tu unakusumbua nilijua tu una mke mbaya ndo maana unaponda wanawake? wanaume wenye dharau lazima ukute kaoa kituko pole sanna
 
Ata kama hawanuki kwa msaada wa unyunyu bado ata hawajimudu, sina muda mchafu hawa wanaojiona matako yao kama bastola ya kunitekea no lesson to learn there! Mnavyojitapa kwa ambao hawajawahi kuwapata watatekwa c mimi.
nawararua rarua
 
Attachments

unauza kei .? nenda sokoni utaipata hiyo hela muda mfupi tu
 
hahahh huu uzi bhana vichekesho vitupu.. ila huu mwandiko kama sio wa mwanaume itakuwa ni mdada mzoefu huu kaamua tu kuwaprovoke watu
 
Babako hana hata baiskeli, unadai gari!! Umekulia kwenye nyumba ya paa moja ya kupanga unadai bangalow!! Tuanze kukagua kwenu kwanza Kama vipo.
 
Back
Top Bottom