Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
taja sifa zako plz!!1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Hivi yeye yupo upande upi?Hahahahaha lol! Mara ya mwisho alionekana akihudhuria debate ya Hillary na Trump, sijui kama alisharudi maskani kwake.
Hivi yeye yupo upande upi?
My be Mzae wewe huyo mwanaume ndo akuoe. Wanaume wa saivi hawpendi michezo michezo. Anaazamia gari mpaka nyumba ukiliwa tu utaambulia manyoya[emoji41] [emoji41]1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Mkubwa, kwa hivi vigezo alivyotoa kwa mwanaume wa Dar bado unahamu ya kujua vigezo kwa wa mkoani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...Upande ambao una sifa za kuingia WH kwa manufaa ya Taifa kubwa na dunia pia, si huu upande ambao unaweza kuwa chanzo cha Vita kuu ya tatu ya dunia na ambao una dharau kubwa dhidi ya wanawake, watu wa mataifa mengine na dini tofauti na pia hutumia kauli za hovyo sana li kuwadhalilisha wanawake.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa maelezo haya umedhihirisha pia upande uliopo.
Anableed tropical zile za box kama cyo vijotiUna bleed juice ya embe!