Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
sasa tumefikiwa....

ongezea pia tuna nguvu za kiume
 
Nimefarijika sana na hii thread natamani wife wangu aisome!. Very unfortunately wife hataki hata kuisikia jf!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…