Good-bye
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,085
- 1,812
AmenIsipokuwa kuna ukweli kwa sehemu fulani kwenye hili.
Sijajua ni coincidence au ni in-born ?
Lakini jamaa si hapa aisee!
MashaAllah kwa wastani wanajua kupenda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenIsipokuwa kuna ukweli kwa sehemu fulani kwenye hili.
Sijajua ni coincidence au ni in-born ?
Lakini jamaa si hapa aisee!
MashaAllah kwa wastani wanajua kupenda!
🤣🤣🤣Ulimbukeni kama wa wanaume wa kinaijeria.
Ndio maana wanawake zao kazi kujichubua
🤣🤣🤣🤣🤗Hawajamaa ni wajuaji wa Kila kitu ,hawajui kuwa hii miji Kuna watu wamezaliwa humo
Copy thread mtumie WhatsAppNimefarijika sana na hii thread natamani wife wangu aisome!. Very unfortunately wife hataki hata kuisikia jf!.
P
Anatamani apatwe na ngosha 😍Mwandishi mwenyewe bado hajapatwa na msukuma.... Sasa hii kitu kitaalam tunaiitaje?