Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Ila kunawanawake wengi wa kisukuma Dar wamewakimbia waume zao mwanza na shinyanga


Hao jamaa wakioa makabila baki ndio wanakuwa romantic lakini wakioa au ku -date na wanawake wa kisukuma wenzao wanakuwa wakaksu ile mbaya !
Sijui ni Kwanini?!
It is very unfortunate!
 
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Wasukuma wenzangu Hebu njooni huku
 
Yani wanaume wa kinyakyusa venye tupo silka zote za ujabari kuanzia kitandani mpaka kwenye majukumu, yeye ndo akawatufwe wasukuma!!? Kanikwaza sana.
🤣🤣🤣🤣
 
Hao jamaa wakioa makabila baki ndio wanakuwa romantic lakini wakioa au ku -date na wanawake wa kisukuma wenzao wanakuwa wakaksu ile mbaya !
Sijui ni Kwanini?!
It is very unfortunate!
🤣🤣🤣🤭
 
Hata wanawake wa kisukuma wako vzr, ni wapole, wastaarabu, wasikivu, wananidham, wakarim Hadi raha jamani lol, ila sio wale mashalobalo wa mjini

kama Kuna mwanamke wa kisukuma humu ani PM nataka nichukue toto la kisukuma.


Thubutuuu!
 
Hawajamaa ni wajuaji wa Kila kitu ,hawajui kuwa hii miji Kuna watu wamezaliwa humo
 
Isipokuwa kuna ukweli kwa sehemu fulani kwenye hili.

Sijajua ni coincidence au ni in-born ?

Lakini jamaa si hapa aisee!

MashaAllah kwa wastani wanajua kupenda!
 
Back
Top Bottom