Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sina hasira Ila huyo jomba kaja na viashiria vyote vya kizaramo ndo nikamjibu kistaarabu.🤣🤣🤣🤣Mbona una hasira mkuu
Kweli kabisa, hapa nakusupport.Na wanyakyusa pia
Ugonjwa wa wanaume wa kisukuma[emoji4]View attachment 2519605
Ila kunawanawake wengi wa kisukuma Dar wamewakimbia waume zao mwanza na shinyanga
Hayaa sasa wanyakyusa hatujakubaliana kabisa na siala hili, isoni tena, findufiki mkuu?
Wasukuma wenzangu Hebu njooni hukuKubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Kwakweli Kwa Umoja wetu Tunakupa Ng'ombe 5 Kama zawadiWalikuwa wengi mno
Hata wanawake wa kisukuma wako vzr, ni wapole, wastaarabu, wasikivu, wananidham, wakarim Hadi raha jamani lol, ila sio wale mashalobalo wa mjini
kama Kuna mwanamke wa kisukuma humu ani PM nataka nichukue toto la kisukuma.
Zaidi uwe mweupe tutakupenda hadi uone kero.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Hao jamaa ni kama hawana ubongo