binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Jirani usiniambie wewe ni wakanda! 😀Jirani, ebu uje chemba chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani usiniambie wewe ni wakanda! 😀Jirani, ebu uje chemba chap
Ebu njoo jirani kuna lakuongea hukuJirani usiniambie wewe ni wakanda! 😀
Njoo nikuoneshe.. 😂 😂Ngoja tuone🤣🤣
Chap kwa haraka!Ebu njoo jirani kuna lakuongea huku
Hivi yule aliyepewanga nchi nchi fuani huko bara la mbali hakuwa msukuma?Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Yule mi nakataa,haikuwa damu ya Tanzania
🤣🤣🤣🤣Yule jamaa bhana🤭Hivi yule aliyepewanga nchi nchi fuani huko bara la mbali hakuwa msukuma?
Hivi unaweza kuwa katili lakini mwenye upendo?, maana huyo mkuu wa hiyo nchi alikuwa Katili hatari,
au akiongoza familia anakuwa na full of love na sio katili?
🤣🤣🤣🤣Yule jamaa bhana🤭
Tatizo wanavimba mno[emoji4]View attachment 2519503