Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Kheee..!! umejuwaje bwana Bill ?
😂😂😂
Najitambua, kutokana na uzoefu wa maisha yangu mwenyewe.

Upande mwingine, akikupenda upendeke kweli kweli na uwe na nidhamu kwa mume utakula mema ya nchi, Vinginevyo, hiiiiii!!!
 
😂😂😂
Najitambua, kutokana na uzoefu wa maisha yangu mwenyewe.

Upande mwingine, akikupenda upendeke kweli kweli na uwe na nidhamu kwa mume utakula mema ya nchi, Vinginevyo, hiiiiii!!!
🤣🤣Hiii
 
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Hivi yule aliyepewanga nchi nchi fuani huko bara la mbali hakuwa msukuma?
Hivi unaweza kuwa katili lakini mwenye upendo?, maana huyo mkuu wa hiyo nchi alikuwa Katili hatari,
au akiongoza familia anakuwa na full of love na sio katili?
 
🤣🤣🤣🤣Yule jamaa bhana🤭
 
Back
Top Bottom