To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
- Thread starter
- #441
🤣🤣🤣🤣Kwa kweliKwa hiyo leo umeamua kuwapiga tafu akina Bujibuji Simba Nyamaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Kwa kweliKwa hiyo leo umeamua kuwapiga tafu akina Bujibuji Simba Nyamaume
Mbona umewakataa hivyo wanaume wa Kinyakyusa?Hapana,hapana...hapana
Ila wanasemaga eti wanaume wengi wa huko Mbeya hasa hao Wanyaki huwa wanshikwa sana na wake zao. Yaani wanawake wanakuwa wanawaendesha sana wanaume. Sijui hili limekaaje?Yaan hapana bro.....aisee
Iliondoka na meli ya Mv bukoba 😒
Mtumie link ya ujumbe huu kwenye whats appNimefarijika sana na hii thread natamani wife wangu aisome!. Very unfortunately wife hataki hata kuisikia jf!.
P
Waambie haoKubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Kwa hawa hawa akina " To yeye " tunaowajua? Hapa aisee..!!Hapana bhana...upendo wa kweli bado upo mkuu
Tukushauri,kwani Kuna siku ulisema utaoa? Nyie kulaneni tuIla wanasemaga eti wanaume wengi wa huko Mbeya hasa hao Wanyaki huwa wanshikwa sana na wake zao. Yaani wanawake wanakuwa wanawaendesha sana wanaume. Sijui hili limekaaje?
Nimedata kwa manzi wa Kinyakyusa wa humu JF sasa naogopa kuendeshwa. Ushauri pls
Kaka P,Nimefarijika sana na hii thread natamani wife wangu aisome!. Very unfortunately wife hataki hata kuisikia jf!.
P
Inategemea ntu na ntu banaa..!!!Please,hatuna shida