Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Magovi tuu ,siozeshi mwanangu huko never
Aliyekudanganya kuwa magovi hayapelekei moto ke ni nani?

Huko Mbagara, vikindu, Dungani, Kisarawe hadi Kibiti kote yamepeleka moto na yanspendwa haswaa maana hayanaga mzaha kwenye mgegedo
 
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Hata hivyo wanalalamikiwa mno na Wanawake kuwa wawapo Kitandani katika Utendaji wa Kibaiolojia huwa ni Watupu kabisa na Wao muda Wote huwaza tu Ng'ombe zao zisizo na Faida za Kimaendeleo Kwao.
 
Mwanamke mjanja yoyote yule anapenda mwanaume boya ili amtawale na kumuendesha.na sisi wanyakyusa tumestuta labda kama kuna kabila lingine wataweza uo mchezo
 
Kuna msukuma alishanipaga upendo mtamu nusura nipate kisukari kwa penzi lake!Aiseee wanajua kubebisha wale chaaaaa!

Kitu ambacho huwa namshangaa mpaka leo eti anakufuata job zile jmosi za halfday anakwambia hapa tunaenda zetu beach, Basi ukimwambia hizi nguo haziendi beach utasikia twende ukachague dukani halafu unavaa moja kwa moja dukani mnaoondoka jamani Ni washamba Ila they're very fun aisee
 
Wasukuma haoo
 
Mwanzo umeanza vizuri ila mstari wa mwisho chumvi ikazidi kidogo!!
 
Back
Top Bottom