Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Waambie hao
 
Ila wanasemaga eti wanaume wengi wa huko Mbeya hasa hao Wanyaki huwa wanshikwa sana na wake zao. Yaani wanawake wanakuwa wanawaendesha sana wanaume. Sijui hili limekaaje?

Nimedata kwa manzi wa Kinyakyusa wa humu JF sasa naogopa kuendeshwa. Ushauri pls
Tukushauri,kwani Kuna siku ulisema utaoa? Nyie kulaneni tu
 
Back
Top Bottom