Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

🤣🤣🤣Walikufanya nn
Ile species sijui ya wapi anataka abembelezwe utafkiri ye ndo anatongozwa, dharau, uongo uongo sasa (akikuambia kitu amini at your own risk), ujuaji ndo kwake, kulipizia makosa sasa, hajambo unaweza ukakaa tu ukatumiwa text ulowah kumsema anakumbushia na hapo yalishaisha.
Yeye anaamini yuko perfect hana kasoro ila wenzie ndo wana kasoro daily, kubwa kuliko ni single father sasa kila dakika my son this my son that unasema Sawa unampenda mwanao nipe basi na mimi hata nafasi utajibiwa priority priority priority, nikaona cha kufia nini.
 
Yaan kunavitu vipo hapa umeandika ukweli 98%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…