Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Halafu Mr. kuku nae ni msukuma hivo kalipia machungu ya ndugu zake kutapeliwa,
 
Ugonjwa wa wanaume wa kisukuma[emoji4]
JamiiForums695409134.jpg
 
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.

Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Aisifuye mvua, juwa imemnyea.

Kama umepata hongera, kwanini kujificha?
 
Hapa nakuunga mkono kwa 100% na zaidi. Nimeshawahi kuwa na msukuma jamani wanapenda sana mpaka unapendwa tena. Kwenye kutoa hela sasa ni bora yeye abaki hana hata 100 akupe wewe. Sema umbali ulipeperusha mahusiano yetu ila mpaka leo ananitafuta sana kunijulia hali na hata kusaidiana mawili matatu.
Katika wanaume Tanzania hii jamani Wasukuma wapewe sifa yao.

Wabeja sana,
 
Back
Top Bottom