Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Wanaume wa kisukuma wanachojali Ni kuvaa TU, ili mradi waanusitiri mwili TU[emoji38]
tapatalk_1580872809809.jpg
 
Ewaaa anakuona kama uliletwa duniani kumfanyia maisha yake kuwa marahisi ila si binadamu ni mashine flani hivi kiukweli wanaosifia wanaume wa misukuma huwa wananifanye niwaze au mi ninaokutana nao huwa wananidanganya kabila
No, ndio walivyo.... wanao wasifia jua wanakubaliana na hilo suala la kuchukuliwa hivyo as long as anapewa kila kitu.
 
Back
Top Bottom