Mwanaume wa kuzaa nae!

Kuna sifa gani hujaipenda kwenye hayo makabila uliyoyataja?
 
Toa CV yako basi maana wengine tuna sifa zote hizo ila hauna uwezo wa kunilipa so ntakupa mie bure
 
Huyo mwanamke hana uzuri wowote ndio maana anahangaika kibaya chajitangaza
 
Nina sifa hizo lakini hapana,Damu yangu niikane ?
Hata ungenipa dunia siwezi heri nife maskini
 
We tafuta comment ila sioni cha maana hapo mbona unaliwa kila cku km ungekuwa wa kupata mimba ungesha zaa acha kusumbua waume za watu
 
Hii inaweza kuwa mtego. Kwa nini awe mme wa mtu? Wakina Hamisa Mobeto wako wengi sana.
 



Njoo kwangu, nikuonyeshe na sample za mbegu ninazogawa.
 
Ni pm, bao moja najaza kikombe cha ghahawa!! Pia ukihitaji mapacha utapata, ila kupima muhimu usijenipa zawadi ya virusi bure maana sivihitaji.
 
Mimi sifa ninazo ila weka vipimo vya VVU hapa. Ila kama hutaki nimuone mtt itabidi unilipe ghali sana.
 
Zitto siyo mbishi kabisa. Ni cha mtoto....
Muha huwa anabishia mpaka jina lake!
 
njoooo hukuuu ni PM fasta
 
Kabila lolote, lkn naona list ya unwanted tribes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…