Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

imeldaB

Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
39
Reaction score
67
Habari zenu. nmekuja kwenye jukwa hili nikiwa na uhitaji na mwanaume ambaye baada ya kukubaliana tunaweza kwa pamoja leta kiumbe kipya duniani. wasifu wangu; mimi ni mkristo,mwanamke wa kawaida , najitegemea, nipo mkoani na sijaolewa.

Mwanaume: awe mkazi wa mkoani anayeweza kusafiri toka mkoa aliyopo kuja nilipo, au mimi kwenda alipo itakapo hitajika, umbo la kawaida na afya njema, mkristo, awe na shughuli ya kumwingizia kipato na elimu angalau form six. umri kuanzia 25 mpk 35. Awe hajaoa.

Mkaka aliye na uhitaji kama wangu njoo inbox tuchat na kufahamiana vizuri.
 
Dada Imelda lengo lako hasa ni mahusiano, ndoa, mbegu kwa ajili ya mtoto wako au mtoto wenu na mwanaume wa mikoani?

Umesema mwanaume wa mkoani, nadhani umewatenga wa Dar (nao wamezidisha chips mayai kha!) Je walio ulaya na marekani je?
 
Tumefika huku kweli?


Malezi bora ya mtoto ni kulelewa na Baba na Mama,mtoto anahitaji mapenzi ya wazazi wake wote wawili,

Haya mambo ya kutafuta mbegu na kuleta kiumbe Duniani kisha wazazi mnamwagana yanatoka wapi?
 
Dada Imelda lengo lako hasa ni mahusiano, ndoa, mbegu kwa ajili ya mtoto wako au mtoto wenu na mwanaume wa mikoani?

Umesema mwanaume wa mkoani, nadhani umewatenga wa Dar (nao wamezidisha chips mayai kha!) Je walio ulaya na marekani je?
Kwani Dar es salaam sio mkoa? Mkoani maanake ni nje ya mkoa alikuwepo yeye. Kama mleta mada yupo Dar basi watu wa Dar hawatohusika kwenye ofa, ila kama mleta mada yupo nje ya Dar basi watu wa Dar watahusika kwenye hiyo ofa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom