Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

Bado unaendelea tu kuchagua, my sister utakosa hata huyo wa kukupa mtoto. Umechangua sana enzi za uajana wako wako sasa hivi jua limezama bado hujaolewa umeshusha viwango lakini suala la ubaguzi bado unalo. Think.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wivuuu huo, sasa mbona suala la sisi wanaume wa mikoani kupewa fursa limekuuma sana ???


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
ImeldaB kuna uzi upo humu jamii forum kuna mtu anakutafuta balaaa,anasema alikupa cm no yake embu mtafute
 
Back
Top Bottom