MtelaHerry
Senior Member
- May 5, 2018
- 127
- 82
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna ambo hawako mkoaniWa mkoani fursa hiyo...
Habari zenu. nmekuja kwenye jukwa hili nikiwa na uhitaji na mwanaume ambaye baada ya kukubaliana tunaweza kwa pamoja leta kiumbe kipya duniani. wasifu wangu; mimi ni mkristo,mwanamke wa kawaida , najitegemea, nipo mkoani na sijaolewa.
Mwanaume: awe mkazi wa mkoani anayeweza kusafiri toka mkoa aliyopo kuja nilipo, au mimi kwenda alipo itakapo hitajika, umbo la kawaida na afya njema, mkristo, awe na shughuli ya kumwingizia kipato na elimu angalau form six. umri kuanzia 25 mpk 35. Awe hajaoa.
Mkaka aliye na uhitaji kama wangu njoo inbox tuchat na kufahamiana vizuri.
Utuombe samahani si wote tunakula chips wengine tunakula dona iliyochanganywa na ulezi na nyama ya nyati, Sato wa mwanza, Sangara wa kubanikwa kutoka Kagera, na ndizi Bukoba na Moshi.Dada Imelda lengo lako hasa ni mahusiano, ndoa, mbegu kwa ajili ya mtoto wako au mtoto wenu na mwanaume wa mikoani?
Umesema mwanaume wa mkoani, nadhani umewatenga wa Dar (nao wamezidisha chips mayai kha!) Je walio ulaya na marekani je?