Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

Nimekutumi meseji huko PM (inbox) naomba tuyajenge


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Bado unaendelea tu kuchagua, my sister utakosa hata huyo wa kukupa mtoto. Umechangua sana enzi za uajana wako wako sasa hivi jua limezama bado hujaolewa umeshusha viwango lakini suala la ubaguzi bado unalo. Think.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hv mwanaume wa kuzaa nae tu unaweza mtafuta kwa bango lote hili, siuseme tu unatafuta mume ndugu yangu. Wakuzaa nae hakosekani yani hao ni wengi kuliko unavyozani, long story short wapigaji ni wengi kuliko waoaji sasa kama wewe shida yako ni mtoto tu, mpigaji yoyote akikutongoza bebana nae basi mtoto umepata
 
Yaani mtoa mada hajui hata anataka nini kati ya hivi:
1. Mwanaume wa mkoani
2. Mtoto
3. Kipato cha mwanaume
4. Ndoa
 
Watu unawaona umu ndio hao unaowakataa kimuonekano huko mtaani kwenu

kelphin kepph
 
Tunaotumia freebasics ya Opera Min tutawezaje kuku PM? By the way I love to love someone may be it is yo so PM
 
Back
Top Bottom