Mwanaume wa mkoani mwenye haja ya mtoto

Nimezidi 10 yrs hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada Imelda lengo lako hasa ni mahusiano, ndoa, mbegu kwa ajili ya mtoto wako au mtoto wenu na mwanaume wa mikoani?

Umesema mwanaume wa mkoani, nadhani umewatenga wa Dar (nao wamezidisha chips mayai kha!) Je walio ulaya na marekani je?
Utuombe samahani si wote tunakula chips wengine tunakula dona iliyochanganywa na ulezi na nyama ya nyati, Sato wa mwanza, Sangara wa kubanikwa kutoka Kagera, na ndizi Bukoba na Moshi.
 
imeldaB,
Bado unahitaji kukunyaga ya MWAMBOSA,maana mwendo wako ni ule wa kuminyaminya nyanya na muda si mrefu utachagua biringanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…