Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Uvaa nguo kwanza, alafu upaka mafuta sehemu za wazi za mwili wake baada ya kuvaa nguo. Sasa wale wanaojipakaga mafuta mwili mzima tuwaiteje?

FB_IMG_1712238342503.jpg
 
Hayo ni mawazo ya mleta mada ila watu hatupaki mafuta kwa sababu zingine zozote zaidi ya kuulinda mwili a good skin care inahitajika
Nimeweka na mawazo ya wataalamu mbali na ramli View attachment 2953832
Wanadhani kuwa mchafu mchafu na kuto kujijali ndio panamfanya mtu kuwa rijali. Unakuta mwanaume makalio yamepauka kama ya fisi😂😂na bado ni shoga.
 
Maisha magumu mengine kujitakia tu.

Mafuta kama petrolium jelly yanasaidia pia na kuilinda ngozi.

Sasa mtu hupaki mafuta makusudi kabisa ili iweje.

Uanaume ni kutumia akili, sio kujimwambafai na ushambaushamba.

Hawa ndio wale advansi unawasikia, Combi ya sayansi hamna kuoga - Kuoga siku ya wali tu (ujinga tu). Halafu tukifika chuo utawasikia, "MD hamna kwenda disco, disco tumewaachia sijui invaromento (😁😁)" ujinga tu
 
Wanadhani kuwa mchafu mchafu na kuto kujijali ndio panamfanya mtu kuwa rijali.
Hoja ni kupaka mafuta (au kutopaka mafuta), baada ya kuoga na tayari kutoka either kwenda kazini au kwenye mishe zingine, Hili swala la uchafu linaingia vipi?
 
Back
Top Bottom