Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

Kikubwa ananipiga miti hadi narusha maji. Sasa wewe endelea kutokutunza ngozi yako kwa kigezo kwamba itakufanya kuwa mwanaume rijali. Shoga ni shoga tu
kama bomba... wewe ni mgodi... kuna maelfu ya wanawake awajijui kuwa wanaweza kurusha maji...!

wengi huwa wanajibana bana... ila hiyo ni sanaa kama sanaa nyingine ni wanaume wachache sana tunajua kuwamwaga maji...🤣🤣🤣

wanawake wote wanamwaga maji wakipata mwagaji🤩​
 
Ukivua nguo kama muhogo.Nakumbuka Mzee wangu R.I.P alikuwa ananikataza kabisa kushika mafuta ananiambia ni ya wanawake,ila wife ananunua na kuyaleta ya Baba nikawa napaka sehemu zinazoonekana yeye bila kujua.Siku wanangu wamelala mgongo unaniwasha si nikamwambia anikune basi kachukua kitana kapitash hizo pumba si mchezo.Sasa hivi walau Kwa wiki mara Moja napitisha mafuta mgongoni.
 
Hoja ni kupaka mafuta (au kutopaka mafuta), baada ya kuoga na tayari kutoka either kwenda kazini au kwenye mishe zingine, Hili swala la uchafu linaingia vipi?
Nimeongezea mbele na kutokujijali. And yes kutokujipaka mafuta panakufanya uwe mchafu mchafu
 
ukiona mtu anajisifia sana jua kuna tatizo.

tutofautishe kukulia familia maskini na uanaume imagine mtu kakulia familia wakinunua mafuta basi hawali wiki nzima unadhani leo atakuelewa ukimwambia apake mafuta. mtu akijikuna anatoka unga kilo 7
 
kama bomba... wewe ni mgodi... kuna maelfu ya wanawake awajijui kuwa wanaweza kurusha maji...!

wengi huwa wanajibana bana... ila hiyo ni sanaa kama sanaa nyingine ni wanaume wachache sana tunajua kuwamwaga maji...🤣🤣🤣

wanawake wote wanamwaga maji wakipata mwagaji🤩​
Si ndio😂😂
 
Wanadhani kuwa mchafu mchafu na kuto kujijali ndio panamfanya mtu kuwa rijali. Unakuta mwanaume makalio yamepauka kama ya fisi😂😂na bado ni shoga.
Zamani ukiingia kwenye bus utafikiri umeingia kwenye zizi la Beberu watupu
Ila siku hizi kidogo harufu ya kikwapa imepungua sana

Wengine wanaamini kabisa kuwa mwanaume lazima anuke daaa
 
Swali: Hivi kujipaka mafuta mwili mzima, na joto lote la Dar, ni sehemu ya kujijari? , Maana Hata wale wa Njombe, Makambako kwenye baridi huwa hawapaki mafuta mwili mzima, inakuwaje hapo?.
Unapaka vaseline men lotion ung'ae hivo mapenzi kweli mnafanyaje mpo wengi hivi dar mnajazaje dunia na nijoto hamu mnaitoa wapi if i may ask arusha always ni wastani kuna kaupepo
 
Mleta uzi uko sahihi 100%. Kujipaka mafuta usoni na kwenye mikono ndo sahihi. Kitu kingine ni watu kunywa maji mengi na chakula bora. Bila chakula bora na maji hata ungepaka nini ngozi haiwezi kuwa sawa. Tusisahau pia kulala masaa ya kutosha.
 
Swali: Hivi kujipaka mafuta mwili mzima, na joto lote la Dar, ni sehemu ya kujijari? , Maana Hata wale wa Njombe, Makambako kwenye baridi huwa hawapaki mafuta mwili mzima, inakuwaje hapo?.
Sasa hapa ni mtu aseme labda hapaki mafuta kwa sababu ya joto inaeleweka. Au hapaki mafuta kwa sababu ngozi yake ina mafuta nk. Hiyo inaeleweka.
Lakini sio mtu aseme kwamba ukiwa mwanaume haupaswi kujipaka mafuta mwilini, huo ni ujinga .
 
Back
Top Bottom