Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Kenge wapi mnaleta ulaini lain tu apo dom nmekaa sana na fresh tuNjoo Dodoma, Halafu uache kujipaka mafuta kama hutageuka kenge!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge wapi mnaleta ulaini lain tu apo dom nmekaa sana na fresh tuNjoo Dodoma, Halafu uache kujipaka mafuta kama hutageuka kenge!
Wew sema tu kwamba mwanaume wako asipojipaka anakua kama tako la fisi au kenge lakn wengn hatuwi ivoSasa hapa ni mtu aseme labda hapaki mafuta kwa sababu ya joto inaeleweka. Au hapaki mafuta kwa sababu ngozi yake ina mafuta nk. Hiyo inaeleweka.
Lakini sio mtu aseme kwamba ukiwa mwanaume haupaswi kujipaka mafuta mwilini, huo ni ujinga .
Nimeweka jibu juuCo uchafu tunazungumzia kupaka mafuta
Atarusha mpaka ubongoTujaribu ambao hatupaki mafuta utarusha zaid ya ayo maji amini
Wanaume tuna uso wa mafuta mafuta japo kuna ya summer na winter 😄Mwanaume kajipak mafuta dsm joto anakua kama andazi usoni
Muelekeze uyo mtoto mkuu hajapigwa miti na sisi maniga badoAtarusha mpaka ubongo
Kwenda zako😏😏 hebu njoo pM unitumie picha ya paja tuone lilivyo na rangi nyeupe kama karatasi. Mkuu paka huo mwili mafuta hata ukigusana na mtoto wa mtu ahisi amegusana na binadamu.Wew sema tu kwamba mwanaume wako asipojipaka anakua kama tako la fisi au kenge lakn wengn hatuwi ivo
Hahaha dogo umefkia uku nitext pm afu uje uwape mrejesho ukielewa utasema nkutaftie muda nkukunje kabisaKwenda zako😏😏 hebu njoo pM unitumie picha ya paja tuone lilivyo na rangi nyeupe kama karatasi. Mkuu paka huo mwili mafuta hata ukigusana na mtoto wa mtu ahisi amegusana na binadamu.
Tabia za ushogaHayo ni mawazo ya mleta mada ila watu hatupaki mafuta kwa sababu zingine zozote zaidi ya kuulinda mwili a good skin care inahitajika
Nimeweka na mawazo ya wataalamu mbali na ramli View attachment 2953832
Samahani Mkuu, na wewe ni kati ya wale waliobarikiwq kurusha maji?Kikubwa ananipiga miti hadi narusha maji. Sasa wewe endelea kutokutunza ngozi yako kwa kigezo kwamba itakufanya kuwa mwanaume rijali. Shoga ni shoga tu
Ni mawazo ya kimasikiniTabia za ushoga
Wee jamaa umenichekesha mpaka simu nikaikimbia 😂😂😂😂Sio kupaka mafuta tu mwanaume hata kua na taulo ni ushamba ukioga unajitikisa km mbwa unavaa nduki.Pia kulala na net mwanaume si ruhusa sasa unaogopa vimbu ukikutana na simba ??si utajinyea acha mbu wale nao .Hata kutawaza na maji mwanaume huo ni ushoga unataka tako liwe laini ili iweje sasa unachukua jiwe ubafuta shaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna ubaya gani? Mbona mimi ni mwanamme na najipaka lotion mwili mzima?Washoga wale kuna mpumbav mmoja kipnd nipo chuo hostel nilimnasa kibao sababu ya tabia yake kujipaka mafuta matako
😆 😂 😆 umenikumbusha kuna jamaa aliulizwa What do you call mosquitoes in your language?Sio kupaka mafuta tu mwanaume hata kua na taulo ni ushamba ukioga unajitikisa km mbwa unavaa nduki.Pia kulala na net mwanaume si ruhusa sasa unaogopa vimbu ukikutana na simba ??si utajinyea acha mbu wale nao .Hata kutawaza na maji mwanaume huo ni ushoga unataka tako liwe laini ili iweje sasa unachukua jiwe ubafuta shaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa mgongo wa mwanaume unapakwaje futa aisee!Kwahiyo hawa wanaotuomba tuwapake hadi mgongoni wana papuchi au?😏
Man unapakaje lotion?Uvaa nguo kwanza, alafu upaka mafuta sehemu za wazi za mwili wake baada ya kuvaa nguo. Sasa wale wanaojipakaga mafuta mwili mzima tuwaiteje?