Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

Sasa hapa ni mtu aseme labda hapaki mafuta kwa sababu ya joto inaeleweka. Au hapaki mafuta kwa sababu ngozi yake ina mafuta nk. Hiyo inaeleweka.
Lakini sio mtu aseme kwamba ukiwa mwanaume haupaswi kujipaka mafuta mwilini, huo ni ujinga .
Wew sema tu kwamba mwanaume wako asipojipaka anakua kama tako la fisi au kenge lakn wengn hatuwi ivo
 
Kwenda zako😏😏 hebu njoo pM unitumie picha ya paja tuone lilivyo na rangi nyeupe kama karatasi. Mkuu paka huo mwili mafuta hata ukigusana na mtoto wa mtu ahisi amegusana na binadamu.
 
Kuna mkuu ameeleza vzr apo juu ngoz ili iwe nzur inatakiwa ule vzr, maji yakutosha pia upate muda wa mazoez na kupumzk. Hapa wanawake wengi hufeli wao hudhani mmafuta na mikorogo ndo ngoz itakua nzur matokeo yake wanaishia kuonekana vituko na waliozeeka
 
Kwenda zako😏😏 hebu njoo pM unitumie picha ya paja tuone lilivyo na rangi nyeupe kama karatasi. Mkuu paka huo mwili mafuta hata ukigusana na mtoto wa mtu ahisi amegusana na binadamu.
Hahaha dogo umefkia uku nitext pm afu uje uwape mrejesho ukielewa utasema nkutaftie muda nkukunje kabisa
 
Sio kupaka mafuta tu mwanaume hata kua na taulo ni ushamba ukioga unajitikisa km mbwa unavaa nduki.Pia kulala na net mwanaume si ruhusa sasa unaogopa vimbu ukikutana na simba ??si utajinyea acha mbu wale nao .Hata kutawaza na maji mwanaume huo ni ushoga unataka tako liwe laini ili iweje sasa unachukua jiwe ubafuta shaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wee jamaa umenichekesha mpaka simu nikaikimbia 😂😂😂😂
 
Sio kupaka mafuta tu mwanaume hata kua na taulo ni ushamba ukioga unajitikisa km mbwa unavaa nduki.Pia kulala na net mwanaume si ruhusa sasa unaogopa vimbu ukikutana na simba ??si utajinyea acha mbu wale nao .Hata kutawaza na maji mwanaume huo ni ushoga unataka tako liwe laini ili iweje sasa unachukua jiwe ubafuta shaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
😆 😂 😆 umenikumbusha kuna jamaa aliulizwa What do you call mosquitoes in your language?
Jibu lake sasa
We don't call them, they come
 
Back
Top Bottom