Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

Wanadhani kuwa mchafu mchafu na kuto kujijali ndio panamfanya mtu kuwa rijali. Unakuta mwanaume makalio yamepauka kama ya fisi[emoji23][emoji23]na bado ni shoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nampenda mwanaume ajijali apake mafuta mwili mzima na avae vyema anukie apendezee , apende kupiga kazi na vyakula vyote ale vya kitandani na vya mezani sasa kaa hapo jifanye chizi nani akutake umejikwaa tu unga unatoka
Hahaha
 
Kwahiyo hawa wanaotuomba tuwapake hadi mgongoni wana papuchi au?😏
Hakuna mwanaume hapo. Walishaleft group muda hao. Eti mwanaume anapakwa mafuta mgongoni na wengine wanataka wapakwe mafuta kwenye makalio yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…