Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?

Kwanza huyo mwanaume Hana akili
Eti unaacha kulipa ada kwanza kisa k
 
So ulimpendea helaa...wanawake bwana...unaeza kuta wewe ndo unamletea mikosi...mwache apate mwanamke anaempenda kwa dhati ampate na nyota yake itarudi...Mungu anajaribu kumwonyesha hali halisi iliyombele yake before it's too late
 
Haumpendi, mwache tu dili na huyu ambae mme crush. Mchizi ataumia kisha ataipata njia yake hata ikichukua muda. Sasa hivi utamvuruga kichwa tu azidi kupoteza. Sio poa unachomfanyia mwana, mhuhurumie ni boya.Lakini ana majukumu mtoto na ndugu zake.

Nasisitiza muache mchizi, shetani anakutumia vibaya kumuangamiza. Yani akikugusa unaona kinyaa.

Mwisho naanza kukubaliana kiasi fulani na rafiki yangu mmoja kuwa katika mahusiano mwanamke ni mwanamke tu hata awe professa katika mahusiano tabia yake haitofautiani na Chiku wa uswazi πŸ˜€
 
Eeeeeeeeeh still unamuita ur man wakati hisia hazipo πŸ˜”πŸ˜ΉπŸ˜Ή
 
Kiufupi jamaa amekosea kuweka kambi kwako maana wee unafanana na wale wa gusa achia

Yaan mtu akikupiga mara Moja anatakiwa kupotea sababu huna sifa za mwanamke ambaye unatakiwa kuishi na mtu au mume akili Yako bado haijatulia
 
Kiufupi jamaa amekosea kuweka kambi kwako maana wee unafanana na wale wa gusa achia

Yaan mtu akikupiga mara Moja anatakiwa kupotea sababu huna sifa za mwanamke ambaye unatakiwa kuishi na mtu au mume akili Yako bado haijatulia
Keshajipata valentine wame enjoy mzabzab
 
Kanye west ft jamie foxx - gold digger
 
Najua umejaibu kuficha ukweli, ila wewe sema tu ukweli,huyo just a friedn tayari ameshakukula na mko kwenye pesnzi,ila umejaribu kutupa scernario rahisi ili upate maoni na kumtambulisha rasmi kwa mpenzi wako aliyefulia. Kila siku tunaaambia wanaume husiinvest kwa malaya,wao penzi ni equivalent na pesaa,versaly proportion, no meoney no penzi, much money more penzi. Itabidi harudi kuinvest at least kwenye familia yake.Yaani ameacha kulipia karo mtoto ili alipie rent malaya mchepuko. Majuto ni mjukuu. Na wewe binti sasa unataka tukupe ushauri upi wakati umeshafanya maamuzi na umeshaanza kukulana na huyo best friend. Waanaume hata biblia ilisema muhishi nao kwa akili
 
Kama ni Mtanzania siyo kosa lake, Nchi yote imefirisika
 
Mpe yas, mambo yatakaa sawa
 
Kuna watu wakiwa roho mbaya na kutokuwa na huruma hususani kwenye mapenzi tunatakiwa kuwaelewa.....

Imagine huyu ndo future waifu wako...

We Zombie 🎢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…