Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?!
Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia.
Sasa naishi kisela kijana wa watu mwanzo niliwahi majuku kabla miaka hata 30 nshaoa.
Sasa siunajua nshazoe kula mzigo karibia daily,now ni tofauti basi mawindo ya hapa na pale kumpata wa kuzuganae ndio nakutana na vimbembe vinavyonifanya nisitamani tena kurudi kwenye ndoa na mtu yeyote yule daah...
Yaani unakutana na mwanamke anakudanganya hana mume kumbe uwongo unakuja kugundua anakuambia mambo ya ndoa yaKe hayanihusu hivyo nimlakue niwezavyo tena kwa gharama zake...
Aiseeh ni wengi mpaka najiona nna mkosi gani au X wangu kanirogezea nuksi ya wake za watu???
uzuri wenyewe huo mtego nikigundua lazima nchumoke hata kama ni mzuri na unapesa kiasi gani maana binafsi nilitendewa ivo ivo na kwakweli nahsmeshimu ndoa naheshimu familia iyo dhambi siitaki kabisaaa.
Sa najiuliza hawa wanawake ambao kwenye uchumba wanalilia saana ndoa ndo ichi wanacholialia kukifanya??
Aiseeeh wanaume wenzangu hasa niliowaacha bado mpo kwenye ndoa hali ni mbaya yaani mtaani wake za watu ni wengi kuliko wanafunzi, iwe mtaani,club,bar,viwanja na kila mahali wanagawa tuu kana kwamba hawaishi na wanaume.
Kwasasa napambana na kilimo.. #MkulimawaDaslam