Mwanaume: Weka Ndoa yako pembeni halafu itazame upya

Mnazalilisha Sana wanawake maneno yasiyo na ukweli! Hiyo Ni class ya chini Sana ya wanawake!
 
Mnazalilisha Sana wanawake maneno yasiyo na ukweli! Hiyo Ni class ya chini Sana ya wanawake!
we tulia uongo gani unaona hapo?? uliza mkeo kama hatokuambia ka unachapiwa na wewe!! hivi viumbe nivile ni mama zetu
 
we tulia uongo gani unaona hapo?? uliza mkeo kama hatokuambia ka unachapiwa na wewe!! hivi viumbe nivile ni mama zetu

Unaongea ujinga; Kwa aina ya uandishi wako na classy, may be! Mimi ninakaa street ambayo hata mke wa Jirani kumwona Ni changamoto!

Sasa hawa wakufuate mpuuzi Kama wewe mpaka wakupe hela wana kutaka nini? Hii Ni dhana tu ya Kipumbavu isiyo Na uhalisia wowote!
 
Unalima na jeans🙌🙌🙌upo vizuri
 
Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?!

Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia.
yaan n kwamba alichepuka kisha akakuambia, mmnh! Na ww ukamuambia kama umenogewa unaweza kwenda kwa jamaaa🤔🤔.

hiz ndoa zenu za sku hiz znashtua , asee!
 
Mkuu upo sahihi, kupita na mke wa mtu sio vizuri, hata mimi huwa roho inaniuma kuona mwanaume mwenzangu anachapiwa mke wake, Daaaaaah,
 
yaan n kwamba alichepuka kisha akakuambia, mmnh! Na ww ukamuambia kama umenogewa unaweza kwenda kwa jamaaa🤔🤔.

hiz ndoa zenu za sku hiz znashtua , asee!
Unadhani kirahisi ivo?? Mzee nimemaanisha nikamuacha
 
Mkuu upo sahihi, kupita na mke wa mtu sio vizuri, hata mimi huwa roho inaniuma kuona mwanaume mwenzangu anachapiwa mke wake, Daaaaaah,
Kuna wanaojifanya vidume wanadhani wenyewe hawatooa
 
Blo hunitii hata hasira ni vile umechelewa kuja mjini...
yaani unadhani wenye maget makubwa hawagongewi wake zao ennhh sa ka unageti unawexakuta mlizi wako anampakua mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…