Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu.
Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao.
Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine..
Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge magari na majumba mimi nakula na kukichezea kadri yangu.
Fikiria hawa ni watu wawili ambao wameniiba kwa rafiki yao mwingine tu na sio kwamba ni pisi zenye njaa au magumashi ni pisi ambazo huko nje mnazihonga pesa ndefu kabisa.
NB
Haya mambo ya mapenzi tusiigane wengine ni vipaji maalumu ndio maana hatuyahangaikii ila yanatufata yenyewe.
Watu wa ukimwi, watu wa kiroho, watu nuksi, mafeminist, na watu tafuta hela napenda niwataarifu tu kuwa badae nina miadi na mtoto prisca hivyo comments zenu mkafanyie kazi wenyewe