Habarini,
Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda..
Ila dunia ya sasa trend iliopo duniani ya umarioo (wanaume kuingia kwenye uhusiano wa kingono na mijimama ili wapate kupewa hela) ni tabia inayokua glorified, kitu ambacho ni kinyume na asili ya mwanaume..
Mwanaume anaempa hela mwanamke anaempenda/ anaemtongoza, kwa asilimia kubwa anaonekana boya (na both genders)
Ongezeko la wadada wanaowafanya wanaume maboya kwa kuwachuna hela / wadada ambao they use men for money/ wadada ambao they date only for money/ inakatisha tamaa wanaume wengi kuhudumia wanawake kwa upendo.
Social media inakazana kuonesha wanaume wanaojitoa kipesa kwenye mahusiano wengi huwa wanaishia kupata hasara ya kipesa na kupigwa na vitu vizito, Hadi misemo inatungwa na jamii, inayosema "mchumba hasomeshwi" "acha kuwa simp" n.k Ina discourage wanaume wengine kuonesha upendo to their women
Kwa waumini wa biblia Jacob alipiga kazi kwa miaka 14 kwa labani ili tu ampate Rachel, kwa dunia ya sasa ni ngumu kupata mwanaume anaejitoa hivyo kwa mwanamke wake, kwa kuhofia heartbreak..
Mambo ni vululuvululu