Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda

Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda

Kwa waumini wa biblia
Jacob alifanya kazi miaka 14 kwa labani ili kumpata Rachel ambaye alikuwa ni bikra na bado akapewa mwanamke mwingine bikra ambaye ni Lea.
Kwa miaka 14 alifanya kazi na kutunukiwa wanawake wawili mabikra wenye heshima, nidhamu na utii, it isn't worth it bro?
Hilo neno bikra umelikazia mkuu utafikiri tupo agano la kale

Unamkumbuka yule kahaba alietaka kupigwa mawe … Yesu aliandika nini chini??

Anyway ila kumbuka wakati unamnyooshea mwenzio kidole kimoja kumbuka kuna vidole vyako 4 Viña kurudia
 
Umeelewa hilo andiko lakini mbona halihusiani na umaskini Bali ni upendo

Kama unakumbuka Laban alimwambia Yakobo ili ampate binti yake Rahel yaMpasa atumike miaka 7 alipomaliza akaozeshwa Lea badala ya Rahel kwa kuwa ni utamaduni kwao mkubwa kutangulia na kwa kuwa yeye alikuwa na upendo mkubwa sana kwa Rahel akapewa sharti lingine la miaka 7 ili ampate Rahel na alifanikiwa

Yakobo hakuwa masikini mkuu
ASingekua masikini wa kukosa mahali, asingefanya wala kufanyishwa huo ujinga. Akamuuliza baba yake Isaka alimuoa mama yao Rebecca kama kulikua na mizunguko hii. Ni straoght paap!!! Kaona mtoto, kalipa mahali ,kamchukua..
 
Soma vizuri hiyo story kilichofanya Yakobo kwenda huko kwa mjomba ake ni nini mkuu??

Isaka baba yake hakuwa masikini kilichomkimbiza kwa wazazi wake ni kuogopa kuuliwa na ndugu yake…

Na kutumika kwa ndugu yake ni katika kipindi kile akiwa bado ni Kijana ambae anapaswa kufanya kazi na sio kwamba alitumikishwa kwasababu ni maskini
 
Naijua vizur bible. Vizur sana.
Ila for the moment He was poor with no where to go. He had nothing. Alikua masikini kabisaaa. Tena hata kwao alikua mtoto wa mama tu kutwa kushinda jikoni na mama yake mtu wa kupika pika.hakua anafanya kazi kwao kama kaka yake
 
Ni kweli kabisa,

Tangu Enzi na Enzi Raha ya mwanaume ni kuhudumia ..

Yaan umetoa hela ya kusuka, unaona msuko unavyompendeza mrembo,

Tatizo limeanza pale unapotoa bila ya makubaliano yakuoana, yaan kutoa kitu ili upate papuchi, lazima utalia mwisho wasiku.

Suluhisho: tafuta mmoja,jilipue oa hudumia mke wako, mhonge uwezavyo...
Hutajuta,

Vijana oeni, mfaidi Raha ya kuhonga, mnakwama wapi??
Lakin anatoa kwa anaye mpenda. Si vingine
 
Kama ni hela nampa na yeye anatakiwa anipe.
 
Ni kweli kabisa,

Tangu Enzi na Enzi Raha ya mwanaume ni kuhudumia ..

Yaan umetoa hela ya kusuka, unaona msuko unavyompendeza mrembo,

Tatizo limeanza pale unapotoa bila ya makubaliano yakuoana, yaan kutoa kitu ili upate papuchi, lazima utalia mwisho wasiku.

Suluhisho: tafuta mmoja,jilipue oa hudumia mke wako, mhonge uwezavyo...
Hutajuta,

Vijana oeni, mfaidi Raha ya kuhonga, mnakwama wapi??
hawa wakileo hawatakuelewa
 
Habarini,

Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda..

Ila dunia ya sasa trend iliopo duniani ya umarioo (wanaume kuingia kwenye uhusiano wa kingono na mijimama ili wapate kupewa hela) ni tabia inayokua glorified, kitu ambacho ni kinyume na asili ya mwanaume..

Mwanaume anaempa hela mwanamke anaempenda/ anaemtongoza, kwa asilimia kubwa anaonekana boya (na both genders)

Ongezeko la wadada wanaowafanya wanaume maboya kwa kuwachuna hela / wadada ambao they use men for money/ wadada ambao they date only for money/ inakatisha tamaa wanaume wengi kuhudumia wanawake kwa upendo.

Social media inakazana kuonesha wanaume wanaojitoa kipesa kwenye mahusiano wengi huwa wanaishia kupata hasara ya kipesa na kupigwa na vitu vizito, Hadi misemo inatungwa na jamii, inayosema "mchumba hasomeshwi" "acha kuwa simp" n.k Ina discourage wanaume wengine kuonesha upendo to their women

Kwa waumini wa biblia Jacob alipiga kazi kwa miaka 14 kwa labani ili tu ampate Rachel, kwa dunia ya sasa ni ngumu kupata mwanaume anaejitoa hivyo kwa mwanamke wake, kwa kuhofia heartbreak..

Mambo ni vululuvululu
Na hii inapelekea wanawake wa maana tukose wanaume wa maana

Hapo Kila mtu anamtegea mwenzake

Kazi kweli kweli
 
Na hii inaelekea wanawake wa maana tukose wanaume wa maana

Hapo Kila mtu anamtegea mwenzake

Kazi kweli kweli
Wanaume wa maana (husband materials) mara nyingi hawana sura nzuri

Kwa sahivi mwanamke akimwita mwanaume husband material, 8 times out of 10 somehow ujue hilo ni tusi..

Wanawake wajanja wengi wanatarget kuolewa na wanaume wenye muonekano wa kawaida, ilhali kiuhalisia wanatamani kuolewa na ma-handsome, maana wanaume ma-handsome wengi sio ma provider na sio waoaji.. mtu anaona umri unaenda bora aolewe na mwanaume ambae sio type yake Jane Msowoya
 
Doh, kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom