Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda

Hilo neno bikra umelikazia mkuu utafikiri tupo agano la kale

Unamkumbuka yule kahaba alietaka kupigwa mawe … Yesu aliandika nini chini??

Anyway ila kumbuka wakati unamnyooshea mwenzio kidole kimoja kumbuka kuna vidole vyako 4 Viña kurudia
 
ASingekua masikini wa kukosa mahali, asingefanya wala kufanyishwa huo ujinga. Akamuuliza baba yake Isaka alimuoa mama yao Rebecca kama kulikua na mizunguko hii. Ni straoght paap!!! Kaona mtoto, kalipa mahali ,kamchukua..
 
ASingekua masikini wa kukosa mahali, asingefanya wala kufanyishwa huo ujinga. Akamuuliza baba yake Isaka alimuoa mama yao Rebecca kama kulikua na mizunguko hii. Ni straoght paap!!! Kaona mtoto, kalipa mahali ,kamchukua..
Soma vizuri hiyo story kilichofanya Yakobo kwenda huko kwa mjomba ake ni nini mkuu??

Isaka baba yake hakuwa masikini kilichomkimbiza kwa wazazi wake ni kuogopa kuuliwa na ndugu yake…

Na kutumika kwa ndugu yake ni katika kipindi kile akiwa bado ni Kijana ambae anapaswa kufanya kazi na sio kwamba alitumikishwa kwasababu ni maskini
 
Naijua vizur bible. Vizur sana.
Ila for the moment He was poor with no where to go. He had nothing. Alikua masikini kabisaaa. Tena hata kwao alikua mtoto wa mama tu kutwa kushinda jikoni na mama yake mtu wa kupika pika.hakua anafanya kazi kwao kama kaka yake
 
Lakin anatoa kwa anaye mpenda. Si vingine
 
Kama ni hela nampa na yeye anatakiwa anipe.
 
hawa wakileo hawatakuelewa
 
Na hii inapelekea wanawake wa maana tukose wanaume wa maana

Hapo Kila mtu anamtegea mwenzake

Kazi kweli kweli
 
Na hii inaelekea wanawake wa maana tukose wanaume wa maana

Hapo Kila mtu anamtegea mwenzake

Kazi kweli kweli
Wanaume wa maana (husband materials) mara nyingi hawana sura nzuri

Kwa sahivi mwanamke akimwita mwanaume husband material, 8 times out of 10 somehow ujue hilo ni tusi..

Wanawake wajanja wengi wanatarget kuolewa na wanaume wenye muonekano wa kawaida, ilhali kiuhalisia wanatamani kuolewa na ma-handsome, maana wanaume ma-handsome wengi sio ma provider na sio waoaji.. mtu anaona umri unaenda bora aolewe na mwanaume ambae sio type yake Jane Msowoya
 
Doh, kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…