Mwanaume zilinde 'Shahawa' zako, huo ndo uhai wako

Sawa mushi nimekuelewa,uaminifu uchakue nafasi jaman tutulie na wenza wetu
 
Uzinzi ni starehe yenye gharama kubwa sana duniani kimwili na kiroho.

Uzinzi haujawahi kumuacha mtu salama, matokeo yake ni ya haraka sana.

Hakuna dhambi ambayo Mungu anaichukia kama uzinzi, na ni dhambi ambayo imeandikwa mara nyingi sana katika vitabu vya dini.

Ushauri tukaze moyo wakuu, tusiziangamize nafsi zetu kwa malaya, fanya kazi kwa bidii wekeza pesa ili uvute mke wako ndani, uanze kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, hakika baraka na neema zitakumiminikia
 
"shahaza za mwanaume zimwagwe kwenye uke mmoja tu ambao ndo mke wako."

Unaweza kuweka mstari unaosema hayo kutoka kwenye biblia?
 
Amen
 
Bila kumwaga wafilipino kuna raha gani sasa ya tendo utakuwa ujafanya we ndio umefanywa


Mtoa mada pambana na hali yako
 
Moja kati ya Mada bora kabisa JF.
Asante sana mtoa Uzi.

Ila baadhi ya watu ndio watakuelewa ulicho maanisha.

Kwakuwa katika dunia ya sasa kuna watu wa aina mbalimbali na wanaishi dunia mbalimbali.
 
Je wale watu ambao hawana testes au wamefanyiwa vasectomy lakini wanatoa fluid zinazozalishwa katika Cowper's gland na seminal vesicles ambazo ndio hizi ukipiga bao unaziona unawaweka katika kundi gani?
 
Umeingiza mambo ya Dini tena.
Nani kaongelea dini hapa ?

Unafahamu maana ya Nguvu za Kiume ?
Nguvu za kiume sio ubavu wenye nguvu.

Sio mbaya mwulize jirani yako maana ya nguvu za kiume atakuelewesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…