Mwanausalama Tanzania aaibika kutumia nguvu na mwanausalama wa Obama kumlinda mwandishi

Mwanausalama Tanzania aaibika kutumia nguvu na mwanausalama wa Obama kumlinda mwandishi

Bwahaaaahaa mbavu zangu is breaking lol
"...NO NO Sir! We are not TEACHED that way. You know, you know we are AMRIzed to KICK if they NOT HEAR, we KICK ONLY, because us TIRED NOW..."



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, acha uongo wako. Mm nilikuwepo eneo la tukio, kilichotokea ni yule mwanausalama wa tanzania baada ya kuona yule mwandishi hana kitambulisho cha pale alimzuia kwa muda akapiga simu kwa wenzake waliopo kwenye eneo la uratibu ili kupata ufafanuzi na maelekezo ya huyo mwandishi..baada ya kama dakika 7 alimruhusu mwandishi akaingia
 
Sasa huyo mwanausalama wa Bongo kwa nini alishindwa kumdunda huyo mwanausalama mwingine? SI AMEAMBIWA APIGE TU..?? Huyo mwanausalma wa Bongo akamatwe kwa kushindwa kutekeleza amri ya waziri mkuu, kwamba AMECHOKA WAPIGWE TU

Hata mimi natamani angemdunda huyo mwanausalama wa Marekani halafu akasema anatekeleza maelekezo ya pinda, maana amechoka kutumia akili, ni nguvu tu.
 
Sasa huyo mwanausalama wa Bongo kwa nini alishindwa kumdunda huyo mwanausalama mwingine? SI AMEAMBIWA APIGE TU..?? Huyo mwanausalma wa Bongo akamatwe kwa kushindwa kutekeleza amri ya waziri mkuu, kwamba AMECHOKA WAPIGWE TU

ndugu yangu haya majamaa yalivyo makubwa, kanausalama ketu si kangokotwa na kutupwwa tu kama TP. Ila hongera marekani kwa kuwanyang'anya majukumu ya usalama hawa vilaza wa TZ, VINGIVYO kufikia leo wangekuwa mawesharusha mabomu na tungeomboleza leo.
 
haibu kubwa cana inaonesha ni kiaci gani viombo vyetu vya dola vya nchi yetu vinavyopenda kutumia mabavu kuliko akili na sheria zinavyocema lakini tucilaumu cana inawezakana ndio ata mafunzo yanayotolewa kwa hawa watu yana cicitiza matumizi ya nguvu kuliko akili. 😛ainkiller:
 
hawezi kujibu kwa sababu amedanganya..ukweli ni kwamba hakuna tukio kama hilo lililotokea pale, mijamaa inapenda sana uongo na uzushi

Mleta mada kakuletea na source ya habari ambayo ukiisoma utapata kinogaubaga, sasa tatizo lako nini?

Walio kwenye system ya usalama ambao ni chombo cha ukandamizaji na unyanyasaji nchini wataendelea kutetea udhaifu huo.


Tatizo vyombo vya usalama Tanzania vipo kwa ajili ya kulinda masilahi ya viongozi ndio maana viko chini ya serikali kuu. Tofauti ni kwamba nchi ambazo demokrasia inafanya kazi barabara vyombo vya usalama ni mali ya wananchi na wana haki, kauli na kuhakiki utendaji wao na uwajibikaji wa vymbo vya usalama usipo waridhisha raia wana haki na mamlaka ya wanawajibishwa kwa taratibu walizoweka.

 
kama ndivyo basi hii ni story ya uwongo, waandishi wetu waongo sana, kama huamini peruse newspapers zetu
Inawezekana Selina ndo amemwambia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi naona aibu si kwa wanausalama, bali ni kwa viongozi waliotoa amli ya kupiga, pm, wasira and the likes!
 
Ili kukuhakikishia ukweli huo na kwamba habari hiyo imekuwa published kwenye chombo cha habari soma HABARI LEO la Julai 2, kichwa cha habari: 'RAIS OBAMA ATUA DAR NA FAMILIA YAKE KWA KISHONDO.'
. Natanguliza shukrani kunielewa
Ndibalema.

Ndibalema kwa KIHAYA ni jina la mtu aliyeshindikana (kuleleka, kufundishika, kusaidika, kuaminika nk)
Tehe!
 
Huyo alikuwa anafuata masharti ya Bwana Pinda Piga tu.
 
aaaaaaaaaa si tukio la AJABU buli ni kawaida ya hao wanaojiita wanausalama,
bora amefundishwa na m2 anayefanya usalama na si magumashi
 
Sisiemu wanaumbuana tena?haaaaaaaaaaaaaa majanga
 
Katika mafunzo ya kuwaanda hawa ma irion boys(polis) kuna suala ambalo wanakosa, hawafundishwi kutumia akili katika kutekeleza majukumu yao bali wanafundishwa kutumia nguvu bila hjatakufikiria. Wanachofanya ni kam,a mbwa ambaye akiamulishwa ni kufuata amri tu. Ndo maana vurugu zilizo nyingi wenyewe ndo huwa wanzilishi na kutupia lawama wengine.
 
Tena Selina ana bahati kwani si boss alishasema "wakikaidi piga au ua kabisaaaaaa"Ningekuwa mimi Selina hiyo siku ningeifanya birthday yangu ya pili maana alishaanza kunusa harufu ya kifo...lol.
 
mwanausalama alichemsha na alipata aibu yake na kuitia aibu usalama wa taifa
 
hii topic sina upande nayo nawachukia gazeti la uhuru lakini nawachukia zaidi wanausalama wanaofata maagizo ya pinda
 
Ni kawaida kwa vyombo vya Usalama Tanzania Kutumia nguvu nyingi kuliko werevu na Akili.
 
Back
Top Bottom