"...NO NO Sir! We are not TEACHED that way. You know, you know we are AMRIzed to KICK if they NOT HEAR, we KICK ONLY, because us TIRED NOW..."
Sasa huyo mwanausalama wa Bongo kwa nini alishindwa kumdunda huyo mwanausalama mwingine? SI AMEAMBIWA APIGE TU..?? Huyo mwanausalma wa Bongo akamatwe kwa kushindwa kutekeleza amri ya waziri mkuu, kwamba AMECHOKA WAPIGWE TU
Ndivyo mnavyofundishwa katika utendaji wenu? Haya ni maneno mazito sana kuhusu maafisa wa usalama wetu.

hawezi kujibu kwa sababu amedanganya..ukweli ni kwamba hakuna tukio kama hilo lililotokea pale, mijamaa inapenda sana uongo na uzushi
Inawezekana Selina ndo amemwambia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ili kukuhakikishia ukweli huo na kwamba habari hiyo imekuwa published kwenye chombo cha habari soma HABARI LEO la Julai 2, kichwa cha habari: 'RAIS OBAMA ATUA DAR NA FAMILIA YAKE KWA KISHONDO.'
. Natanguliza shukrani kunielewa Ndibalema.
Ndivyo mnavyofundishwa katika utendaji wenu? Haya ni maneno mazito sana kuhusu maafisa wa usalama wetu.